RC Hapi: Niwe Mbunge, nipeleke shida za Wananchi kwa RC ili anitatulie? Hakiingii akilini

Asubiri wakati Rais Tundu Lissu akisubiri kupeleka muswaada bungeni wakufuta vyeo vya RC na DC kama atapewa uteuzi.
Mkumbusheni kuwa miezi mitano ijayo Rais mpya atafanya uteuzi wake. Jee anastahili kuwepo?
 
Anazungumzia wananchi ilhali wenzie wanawaza 250M na marupurupu chungu nzima.

BTW:Huyo jamaa mtu wa wapi maana isiwe hana hata pa kuanzia huko kwao kuna Mbunge kisiki.
 
Sizitaki hizi mbichi
 
Anazungumzia wananchi ilhali wenzie wanawaza 250M na marupurupu chungu nzima.

BTW:Huyo jamaa mtu wa wapi maana isiwe hana hata pa kuanzia huko kwao kuna Mbunge kisiki.
Rc 4m Mp 13m
 

Amemuogopa Yesu wa CCM atamwaga ugali wake,na hana uwezo wa kushinda Jimbo lolote lile labda ubunge wa Viti maalumu.
 
Sasa mbunge apeleke shida zake kwa mkuu wa mkoa ili iweje? Mkuu wa mkoa ana nini cha kumsaidia mbunge?
Aache tambo za kijinga.
 
Mkuu,

Jaribu kuzungumzia mambo yenye uhalisia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…