mngony
JF-Expert Member
- Jul 27, 2012
- 5,555
- 6,972
Sote tunakumbuka ulivyotukana Wazee wetu tena kwa kiburi majivuno ukifoka kama unawafokea watoto wadogo. Hilo halikuwahi kufanyika na kiongozi mwingine yeyote.
Kitendo cha kuhamishiwa Mkoa kupelekwa Mara wakati 'mwenzako' anatumbuliwa unatakiwa kukitafakari na kuona ni onyo la mwisho, unatakiwa kuomba msamaha.
Wewe bado ni kijana mdogo na una safari ndefu sana, waombe radhi Wazee uliowadhihaki na kuwatukana. Ikiwezekana omba hadharani kama vile ulivyowatukana hadharani
Iga mfano wa Mwenyekiti wa UVCCM Kheri James, japo msamaha ulikuwa wake binafsi ila nakushauri na wewe ufanye hivyo.