RC Hapi umepewa onyo la Mwisho, omba radhi kwa kutukana Wazee

mbona wakuu wa idara kila leo wanawatukana watumishi wa chini lkn hawachukuliwi hatua za kinidhamu.acheni wivu usio na msingi.kwa hiyo happi akitumbuliwa nyinyi mnapata nini?acheni kuchukia watu pasipo sababu hizo roho mbaya mlizonazo na watoto wenu mnawapandikiza maroho ya ajabu ajabu hivyo hivyo ndo maana hamuendelei sababu ya roho mbaya.
 
Tulia wewe, nchi hii maRC na maDC wengi kwani yeye hapo na wenzake wachache.
 
uzuri wa chalamila ukimzingua anakuzingua chalamila mama alianza kumzingua akaona isiwe tabu kampa za uso mje na mabango yoyote hata ya matusi kayasema haya akijua atafukuzwa ila na yeye kaifikisha kwa wananchi
 
Aombe msamaha wa nini wewe mpuuzi?
 
Halina kuomba msamaha,
Hapo tumfanyie maandamano yasiyo na kikomo humu JF,ili siku mmoja tuheshimiane,walifikili mwendazake zake ndiyo Mungu wao na hatΓ kufa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…