RC Hapi umepewa onyo la Mwisho, omba radhi kwa kutukana Wazee

Unfortunately it's too late maana ameshaingia kwenye red zone hata wazee wakisema tumekusamehe haitamsaidia kutoboa sababu ameshaonekana hana nidhamu.

Ajiandae kuwa jobless kama Chalamila. Kule Mara hawezi kutoboa labda azidishe maombi Ila kwa hulka yake hawezi kujizuia kufanya mambo ya hovyo.
 
"Popote watakapojitokeza tutawatwanga" halafu mama samia anamuacha mtu kama huyu kwenye ofisi ya Umma. Hapa mama patafakari upya.
 
"Popote watakapojitokeza tutawatwanga" halafu mama samia anamuacha mtu kama huyu kwenye ofisi ya Umma. Hapa mama patafakari upya.
Kuwatwanga sijui alimaanisha na risasi?
 
Pale atakutana na majungu yakina namba3 mwenyekit was ccm mkoa
 
Pale atakutana na majungu yakina namba3 mwenyekit was ccm mkoa
Aisee kweli, yule Mwenyekiti ana kiherehere balaa. Dogo ajiandae kuwa mjasiriamali tu karata zake zimefika mwisho amelamba dume.

Otherwise ajiunge na Chalamila wafungue bar wawe wanalewa tu😃😃😃
 
Wewe unamsifia JK huku ukiwa na kaunafiki mifuko yako yote ya nguo ulizovaa saa hii.

Who the he'll is Kikwete unataka aabudiwe usiku na mchana.
Mtu akifanya fyongo unapewa LIVE!
 
Huyu alivyo kwenda Tabora hapo juzi kati mapokeze yake utadhani rais wa Taifa la Tabora .sio msafara wakumpokea kilometer 5 .ngoma za jadi zimepigwa na kutawazwa na matambiko yaani.sijui huyu kijana kiburi na majivuni anatowa wapi !!!!???
 
Dogo anamtukana Kikwete huyu kwa kujiaminiii... sasaiv akionana nae sijui atafanyaje? Moja haikai,mbili haikai..kulia anataka kucheka anataka. Anabaki mdomo wazi
 
Wewe unamsifia JK huku ukiwa na kaunafiki mifuko yako yote ya nguo ulizovaa saa hii.

Who the he'll is Kikwete unataka aabudiwe usiku na mchana.
Mtu akifanya fyongo unapewa LIVE!
Unaongea nini mbona hueleweki
 
Bado wewe si uĺijinasibu kuwa wewe ni mtu hatari! Subiri time will tell!
 
Kwani Samia yupo kwenye kundi la wazee ?🤸🤣🐒
 
Huyu kashawafata kimya kimya, nikikumbuka alivyomdharau JK sidhani kama hajamfata chemba kuyamaliza, amejifunza kutomtegemea mwanadamu na kurudi kumtegemea Mungu
Hakika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…