RC Kafulila: Kwa Uchumi huu wa Gesi wa Rais Samia sasa ni wazi Tanzania kuongoza kiuchumi EAC

"If wishes were horses, everyone would ride one"! Analysis nzuri bali heading ni fake and overambitious! kudai kwamba "uchumi huu wa gesi, sasa tanzania kuongoza kiuchumi Afrika Mashariki ni ndoto za mchana na mihemuko ya Mama anaupiga mwingi wakati the reality on the ground tells a different story!

Kwa mfano ni kitu gani kimetufanya mpaka sasa hatuongozi kiuchumi hapa Afrika mashariki wakati Tanzania ni nchi nchi kubwa zaidi kijiografia, ina raslimali asili na watu wengi zaidi, tuna mito mikubwa na maziwa makubwa matatu, nchi ina ardhi nzuri inayolimika mwaka mzima!

Tuna tatizo la uongozi, Kansa ya rushwa na ubadhirifu, mipango isiyokuwa endelevu na kuendekeza mihemuko na kujipendekeza kulikokithiri! na hili sio tatizo la Tanzania yetu peke yake bali bara zima la afrika na dunia ya 3 kwa ujumla: na ndio maana katika nchi zetu hizi kila panapotokea ugunduzi wa raslimali, badala ya kupata neema ya kiuchumi na maendeleo ya wananchi wake, panazuka balaa, rushwa ya kutisha, mauaji ya wenyewe kwa wenyewe na vita! Liberia, Sierra Leone, Nigeria, Equatorial Guinea, Angola, na Sudan ni mifano hai!
 
2025 nileteeni Gwajima nimteue awe Waziri Wa Maliasili.
Waziri Mkuu Hamfrei Polepole 2025 anafaa.
 
Ngoja awamu hii ipite ndio utasikia vizuri madudu yanayofanyika sasa.
 
Uzi elimishi huu, lakini michango ya watanzania wengi ni kuona kama vile wanaibiwa kilicho chao.

Akili za kimaskini siku zote zinakwenda sambamba ni elimu duni, mtu anatoa mchango kama vile anaibiwa ukimwambia aweke wazi anaibiwa vipi, hawezi kukuelezea zaidi zaidi atakuja na matusi na maneno ya kejeli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…