RC Kafulila: Kwa Uchumi huu wa Gesi wa Rais Samia sasa ni wazi Tanzania kuongoza kiuchumi EAC

Ni kwanini tisilifurahie?

Jambo jema, lenye maslahi mapana kwa nchi, hata wapinzani tunaliunga mkono[emoji2]

Maendeleo hayana chama.
By Magufuli's voice
Kama hutojali naomba mjadala mzito na ww kwenye huu mradi.
Kuna sehemu kubwa tumekosea, itatuchukua muda wengi kuja kuona kwakuwa kwa sasa tuna upofu.
Kuna sehemu tumekosea, tumekosea
 
Chuma Kafulila βœ”οΈ
 
Mungu mbariki Rais Samia
 
Uchambuzi mzuri Sana
 
Ni sisi hao tunaowafikia Korea na Vietnam? Sie ambao hata vijiti vya kuchokorea meno na vya mishikaki tunaagiza kutoka China?
Ama kweli tuko kwenye pumbao kubwa.
 
Ni sisi hao tunaowafikia Korea na Vietnam? Sie ambao hata vijiti vya kuchokorea meno na vya mishikaki tunaagiza kutoka China?
Ama kweli tuko kwenye pumbao kubwa.
Unahoja ya kinafiki ,Iweke vizuri hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…