RC Kafulila: Rais Samia Suluhu ametoa TZS 2.3Trilioni kwaajili ya Wafanyakazi

Huyu naye msomi lakini anajifanya anafel padogo tu.Asahihishe kauli yake siyo rais ametoa hela.Kwani katoa mfukoni mwake.Yeye na rais mabosi wao ni sisi.Na huu mrejesho wa kodi zetu wananchi.
 
Hizi kauli zinachangia "mfumko wabei" mtaani mambo ya mishahara iwe siri... Mboni hatusikiagi mshahara wa Mayele wa Yanga.. Au Kagere was ssc
 
Sukuma gangus(singular) katika ubora wake
😂😂😂😂
Wana hasira kiasi kwamba hata Raisi akisema malaria inaletwa na mbu watabisha! Shida yao hapo si hiyo, 'fedha imeletolewa na raisi' bali huyo raisi ndo shida yao. Kwa vile hawana cha kumfanya basi ndo wanazidi kufura!!
 
Unaacha kujadili content unaleta habari za tumbili ndio maana kila kitu hakiwezekani nchi hii.
Zamani hii forum ilikuwa akili unaziona siku hazipo sijui zimesafiri.[emoji15][emoji15]
 
Hivi kwaninini neno "serikali" limeachwa na yanatumia majina ya watu? Au serikali haipo tena? Ni aibu na fedheha sana!
Katika hotuba ya Mama siku ya may day alitumia maneno "Serikali yenu" mara kwa mara. Lakini kwasababu bado hawajatoka kwenye akili ya Jiwe kuabudu na kusifu ili kupata vyeo. Basi tutasubiri sana, watu kuacha hiyo tabia ya ajabu. Maana ndiyo iliyo wapandisha watu vyeo, kupewa pesa barabarani na hata kupelekewa miradi ya maendeleo katika maeneo yao, enzi zile.
 
Kaziiendelee kufanyika, Simiyu tuko vizuri Sana,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…