Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Ni aibu sana kuwa na aina ya viongozi kama hawaInasikitisha sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni aibu sana kuwa na aina ya viongozi kama hawaInasikitisha sana
Mimi akifa MwanaCCM huwa nafanya shereheMkuu umenifurahisha sana
Mkuu hapa hakuna cha dini fulani bali sema rais magufuli anatakiwa awe makini kwenye kufanya vetting ya aina ya viongoziSasa wapiga kura wakirogwa watachaguaje viongozi wazuri?
Lakini akina Juma ndio imani zao hizo!
Wayaroge maccm yote yafe
View attachment 1246326
Hii ni kauli ya kishujaa iliyotolewa Mkoani Katavi na Mh Juma Homera akijaribu kuhakikisha kila mwenye uwezo wa kupiga kura anashiriki kikamilifu kujitokeza na
kuwachagua viongozi bora.
Kila Mganga ameelekezwa kutumia kila kifaa chake kikamilifu ili kuwaroga wananchi kama njia ya mpya ya uhamasishaji na ya kisasa .
Chanzo : EA TV
Mkuu hao ndiyo wenzako maana samaki mmoja akioza basi wote kwenye tenga ukosa thamaniCCM wakati mwingine utadhani hawamwamini Mungu!
Dini siyo issue bali ni maadili ya mtu husikaLazima huyu atakuwa Muislam
Koma tena ukomeeee. Weweee nitakutumia musiki munene uokote makopo saa hii hiiLazima huyu atakuwa Muislam
Ni vituko na aibu kwa Taifa, Viongozi wanawaza kuloga tu... Hapo uamini hata nafasi aliyonayo imeshikiliwa na Uchawi.
Hata JohnUkishaona mtu jina lake ni Juma, Shabani, John, Muhamad, hawa watu hua ni chenga sana
Ajabu moja mkoa wa katavi waganga ni wakristo...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Lazima huyu atakuwa Muislam
Sasa wapiga kura wakirogwa watachaguaje viongozi wazuri?
Lakini akina Juma ndio imani zao hizo!
Wanaamini katika mungu na miungu na sio MUNGU.CCM wakati mwingine utadhani hawamwamini Mungu!