RC Katavi awaomba waganga wa jadi waroge wananchi ili wajitokeze kupiga kura za Serikali za Mitaa

RC Katavi awaomba waganga wa jadi waroge wananchi ili wajitokeze kupiga kura za Serikali za Mitaa

Hii ni mara ya pili kwa viongozi wakubwa ngazi ya mkoa kutoa pumba kama hizi
View attachment 1246326

Hii ni kauli ya kishujaa iliyotolewa Mkoani Katavi na Mh Juma Homera akijaribu kuhakikisha kila mwenye uwezo wa kupiga kura anashiriki kikamilifu kujitokeza na
kuwachagua viongozi bora.

Kila Mganga ameelekezwa kutumia kila kifaa chake kikamilifu ili kuwaroga wananchi kama njia ya mpya ya uhamasishaji na ya kisasa .

Chanzo : EA TV
 
Ukishaona mtu jina lake ni Juma, Shabani, John, Muhamad, hawa watu hua ni chenga sana
 
Nchi ina mambo mengi sana ya Kifala.. Watu kama hawa wanapataje uongozi?
 
elimu kwa mpiga kura haitakiwa,sasa kuroga tu ili misukule ikapige kura
 
Kwanini wasiwaroge wezi wa kura na wale wanaokujaga na mabomu ya machozi kuhakikisha bao la mkono linapatikana roga policcm mmoja mpaka anaanza kujipiga mabomu mwenyewe
 
Wanahangaika nini wakati wanaweza kupika idadi ya waliopiga kura? Ni aibu kwa mwananchi yoyote anayejitambua kushiriki uchaguzi uliopangwa matokeo.
 
Back
Top Bottom