GE2025 RC Katavi: Wananchi msijipange, msihamasishe, msishiriki wala msiwezeshe maaandamano yasiyokuwa na amani

GE2025 RC Katavi: Wananchi msijipange, msihamasishe, msishiriki wala msiwezeshe maaandamano yasiyokuwa na amani

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

McLaren

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2025
Posts
1,170
Reaction score
3,743
Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Mwanamvua Mrindoko, amewataka wananchi wa mkoa huo kujiepusha na vitendo vya kuandaa, kuhamasisha au kushiriki maandamano yasiyo halali, badala yake waendelee kudumisha amani na mshikamano kuelekea uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29 mwaka huu.

Akizungumza katika kikao cha wadau wa maendeleo, Mrindoko amesema serikali haitavumilia aina yoyote ya uvunjifu wa sheria, na wananchi wanapaswa kuzingatia taratibu zilizowekwa kwa mujibu wa sheria za nchi

 
Back
Top Bottom