Elungata
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 40,205
- 33,287
Watu wengi eneo moja,wanaconsume hewa sana,matokeo mnsjikuta,mnavuti hewa ile ile mnayotoa,,Hivi huko duniani wanavyosema wanaruhusu kikundi cha watu kisichozidi watu 10 hv hao watu hawawezi kuambukizana corona kama mmoja wao ana huo ugonjwa.? Mambo ya kuweka lockdown ya muda fulani mpaka fulani ni ujinga mtupu bora waachiwe tuu
Kuzuia kutoka usiku,sababu usiku ndo watu hukutana nightclubs,bar,,wanakunywa pombe,wanakuwa sio makini,,,zero distance,,
Unaweza shangaa boss anatembea na usafiri kapata covid,,
Ujue kaupatia sana sana kunako starehe za usiku,etc