Watu wengi eneo moja,wanaconsume hewa sana,matokeo mnsjikuta,mnavuti hewa ile ile mnayotoa,,Hivi huko duniani wanavyosema wanaruhusu kikundi cha watu kisichozidi watu 10 hv hao watu hawawezi kuambukizana corona kama mmoja wao ana huo ugonjwa.? Mambo ya kuweka lockdown ya muda fulani mpaka fulani ni ujinga mtupu bora waachiwe tuu
Unaweza ukawa mtu mzima ila ukawa na fikra za kitoto.hizo pesa hutolewa na masharti yake huwezi kuzitumia Kama unavyotaka. Hao waliochukua wako wapi saizi? Kama siyo matumizi sahihi ya kipawa Cha kufikiri alichopewa na Mungu Mwenda zake ,ad leo tungekuwa tunaishi Kama digidigiSasa siku zote walikuwa wanaficha nini yani hadi watangaziwe pesa ndio watoe takwimu wakati ugonjwa kweli upo zaidi ya mwaka sasa na watu wanakufa.....
Kutoa takwimu Kila siku inakusaidia nini? Mara 1000 hiyo nguvu uwekeze kwenye kutafuta suluhu ya tatizoMagufuli wako alificha maradhi nadhani uliona matokeo yake. Hivi nyie team legacy mnawaza kwa kutumia nini?
Kutoa takwimu Kila siku inakusaidia nini? Mara 1000 hiyo nguvu uwekeze kwenye kutafuta suluhu ya tatizo
Mkuu,hawa hawawezi kuelewa,ni wajuaji wa kila kitu.Nchi zinazotoa statistics sio wajinga....ni heri kutoa takwimu ili raia wajilinde zaidi
Subiri impate mmoja wao katika famili n.k ujuaji wao utakwishnei....Mkuu,hawa hawawezi kuelewa,ni wajuaji wa kila kitu.
Mkuu issue ni kwamba,aliyeambukizwa sio tu ugonjwa utaishia kwake bali nae ataupeleka nyumbani kwake ambapo nae atawaambukiza wengine.kama uko kwenye mikusanyiko au msongamano wa watu halafu hujavaa barakoa halafu ukaambukizwa kirusi cha korona halafu ukafa, hapo nani wakulaumiwa?
je kunahaja ya kumlilia mtu aliye hatarisha uhai wake kwa uzembe wake mwenyewe?
Sent using Jamii Forums mobile app