RC Kilimanjaro acharuka, akalishwa masaa matatu Hospitali akisubiria huduma - Mawenzi

RC Kilimanjaro acharuka, akalishwa masaa matatu Hospitali akisubiria huduma - Mawenzi

tonicimmobility

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2025
Posts
493
Reaction score
1,040
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Nurdin Babu, amechemka hadharani kutokana na kile alichokiita huduma za aibu katika Hospitali ya Rufani ya Mkoa Mawenzi na kumwagiza Katibu Tawala wa Mkoa, kufanya uchunguzi wa kina utendaji wa hospitali hiyo.

Soma pia: Mbunge Mavunde akabidhi Jengo la kupumzika Wananchi Hospitali ya Rufaa ya Dodoma


Chanzo: Nipashe digital
 
Hiyo ndio hali halisi serikalini kwasasa kote nchini, UWAJIBIKAJI chini ya sa100 ni majanga!.
Afu kuna wajinga wanatuambia mi5 tena!!!.
Huyu mkuu wa mkoa atatumbuliwa nina uhakika. Genge la sasa ni kudharau wananchi yaani hakupaswa kufanya hilo shambulio la aibu. Afanye kama wakuu wa mikoa ya Tabora na Shinyanga etc. Dkt Samia hataki kusikia unasema kuna udhaifu na wananchi wanapata taabu.
 
ina maana huyo RC hajulikani hadi wahudumu wamuweke masaa yote hayo hawakujua kama ndie mkuu wa mkoa..imetokea vp yaani hadi hakutambulika masaa yote hayo.!
 
Hata akicharuka hatobadilisha chochote, watumishi wa umma wana utaratibu wa kuiga tabia za mkuu wa nchi...
 
Welcome to the club, wananchi wa kawaida tuliishazoea kusubirishwa hivyo.
 
Masaa matatu tu unacharuka? wakina sisi tulishazoea kukalishwa hata zaidi ya masaa 8
 
Back
Top Bottom