Utangulizi: Tulipoishia mwezi uliopita,
Mwezi uliopita, kama mtaalamu na mzoefu wa utoaji huduma (Customer Experience/CX), niliorodhesha dalili za huduma mbaya Tanzania: vitu kama"chenji na pipi," simu zisizopokelewa, majibu kama"Boss/mkubwa hayupo," na hadithi ya mgeni aliyeambiwa aende...
Mimi ni mkazi wa Kigoma Mjini, napenda kutoa malalamiko yangu kuhusu huduma niliyoipata katika Hospitali ya Mkoa Kigoma Maweni wakati nilipompeleka mke wangu kujifungua.
Tulipofika hospitalini majira ya saa 3:00 asubuhi, hali ya mke wangu ilikuwa mbaya sana, hakuweza hata kusimama. Nilipowaomba...
Anonymous
Thread
hospitali
hudumahudumambaya
katika
kigoma
mbaya
mkoa
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Nurdin Babu, amechemka hadharani kutokana na kile alichokiita huduma za aibu katika Hospitali ya Rufani ya Mkoa Mawenzi na kumwagiza Katibu Tawala wa Mkoa, kufanya uchunguzi wa kina utendaji wa hospitali hiyo.
Soma pia: Mbunge Mavunde akabidhi Jengo la kupumzika...
Wakuu swalama?
Kuzorota kwa huduma gani au shirika gani kutafanya usiipigie tena kura CCM ikafie mbele?
1. Kwakweli kwangu TANESCO ni namba moja, naashum TANESCO ni mbunge, anafanana na yule aliyeimbwa na Nakasya Sumari, yaani TANESCO ni zaidi ya garasa, halifai kwa lolote.
2. Ya pili ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.