tonicimmobility
JF-Expert Member
- Jun 17, 2025
- 493
- 1,040
Huyu mkuu wa mkoa atatumbuliwa nina uhakika. Genge la sasa ni kudharau wananchi yaani hakupaswa kufanya hilo shambulio la aibu. Afanye kama wakuu wa mikoa ya Tabora na Shinyanga etc. Dkt Samia hataki kusikia unasema kuna udhaifu na wananchi wanapata taabu.Hiyo ndio hali halisi serikalini kwasasa kote nchini, UWAJIBIKAJI chini ya sa100 ni majanga!.
Afu kuna wajinga wanatuambia mi5 tena!!!.
Samia ndio mhudumu hapo? We mbwa koko Samia tunaye mpk 2030, km vp kahame nchiHiyo ndio hali halisi serikalini kwasasa kote nchini, UWAJIBIKAJI chini ya sa100 ni majanga!.
Afu kuna wajinga wanatuambia mi5 tena!!!.
****** wewe utahama wewe maskin fukara weweSamia ndio mhudumu hapo? We mbwa koko Samia tunaye mpk 2030, km vp kahame nchi
Hizi ni cheap politics tu..hio hospital nishaingia siku Moja nikiwa mkoa huo , Wana huduma nzuri na kila mtu anahudumiwa kwa muda aliokuja..ukikuta watu utasubiri Hadi zamu yako ifikeKwamba hakujua hayo au cheap politics?
Alivaa delaina maana huyo RC hajulikani hadi wahudumu wamuweke masaa yote hayo hawakujua kama ndie mkuu wa mkoa..imetokea vp yaani hadi hakutambulika masaa yote hayo.!
Hatutiki"hatumdai" anadaiwa
Niko pamoja na ww mkuu muongeze lingine maana hajitambui****** wewe utahama wewe maskin fukara wewe
Binti unavyofunguka mpaka nimekutamani.Samia ndio mhudumu hapo? We mbwa koko Samia tunaye mpk 2030, km vp kahame nchi