Kwamba alikuwa hajui kwamba hayo ndio mambo ya kawaida ? Nini masaa matatu watu wanakaa siku nzima...
Heko kwa hao wahudumu kwa kuonyesha rangi zao (uzembe) kwa kumpa huduma huyo Bwana kama wengine....; ili kama sio uzembe wao na ni ukosefu wa nguvu kazi za kutosha huyo aongee na wenzao ili kuboresha Huduma...
By the way ingepita Sheria wote watumishi wetu tunaowalipa Kodi (kuanzia wabunge mpaka mawaziri na Rais hakuna kutibiwa nje) If it is good for the Goose should be good for the Gander...