RC Kilimanjaro, Dkt. Anna Mghwira atangaza kuambukizwa Virusi vya Corona - COVID-19

RC Kilimanjaro, Dkt. Anna Mghwira atangaza kuambukizwa Virusi vya Corona - COVID-19

Target missed.. Hili bomu lilikuwa linaenda chattle, limekuta mama bahati mbaya.

Kamati ya zengwe inarudi tena kuangalia wapi wamekosea na kujipanga upya kimaangazi
 
Bado wengi wetu tunapuuza maagizo ya wataalamu. Ni pamoja na nyumba za ibada. Tukumbushane na tukiwa wakaidi tulazimishane. Tuache mzaha wandugu
 
Vipimo bivyo havikuwa na Akili! kwani kunako kupima mzungu alikuwemo? au alipimwa na Daktari Mwa frica, arudie kupimwa upya na wazungu wa Ndanda ndo Jiwe litaamini. km hana kazi pia hana! ni knyume na juhudi zenu!
 
Kumbuka, si kila mmoja aataweza kupimwa bila kuamuliwa na Madaktari.
 
Na wewe umechanganya.

Corona ni aina fulani ya virusi ambavyo vimegundulika na kupewa jina hilo miaka mingi iliyopita
Covid-19 ni "strain" fulani ya virus wa jamii ya corona. Huyu covid 19 kwa sasa ndio kashika kasi kwa hiyo tunamuita tu corona kama jamii yake ilivyo.

Mfano Chukulia kuwa Mbwa(kirusi) ni jamii ya wanyama, lakini mbwa wapo kabila nyingi tofauti.
Sawa nimechanganywa, hebu niambie sasa ugonjwa unaosababishwa na huyo mnyama unafahamika kwa jina lipi?
 
Faiza, nikiangalia angalia mitandaoni napata jibu hili "It's a desease caused by a (novel coronavirus) - corona which originate from Wuhan, China." Source: www.health24.com . Inawezekana kiinglish changu uelewa wake ulee wa mwaka 47 mtu atusaidie na kutafasiri kisasa.
 
The CoV which causes COVID-19 has been named as SARS-CoV-2 by the International Committee on Taxonomy of Viruses (ICTV); this is the scientific name. The virus may also be referred to as “the COVID-19 virus” or “the virus responsible for COVID-19”. COVID19 refers to the disease caused by the virus.
 
Hii ya huyu mama ukute imekuwa staged tu ili kuwaondolea watu hofu. Ujinga wa Corona mkiifanyia mzaha ni kama mmeiita, inakupandieni hukohuko juu na kuanza kuwanyofoeni mmoja baada ya mwingine. Haitoki hadi iwamalize.
 
Back
Top Bottom