RC Kilimanjaro, Dkt. Anna Mghwira atangaza kuambukizwa Virusi vya Corona - COVID-19

RC Kilimanjaro, Dkt. Anna Mghwira atangaza kuambukizwa Virusi vya Corona - COVID-19

Pole sana mama Mghwira na hongera sana kwa ujasiri wako wa kujitokeza hadharani.
Huo ndio uongozi, nikutakie kupona haraka na afya njema.
 
Hapa ameishi kiuongozi. Ifike wakati hawa CCM wajue kusema una virusi vya corona si "kujidhalilisha". Wao wanachofikiri siku zote ni kufichaficha tu. Labda huyu mama atawaamsha wengine, waliolala!
 
Asante, lakini nasikia huko Amana ndiko watu wanakimbia. Mimi nipo mkoani na nimeambiwa vipimo vinapelekwa sehemu moja tu kuchunguzwa.
Aah kumbe tayari ufumbuzi unao, kumbe hata mkoani unachukuliwa vipimo? Jambo jema Sana hilo, kwani unahisi umezidiwa sana huwezi kungoja majibu yapelekwe kwenye kituo cha kupimia?

Wewe unaona Amana wanakimbia, mimi naona wanafanya mpaka party waliowekwa quarantine amana. Jionee...

Kama urafiki na cuba bado upo, JPM asichelewe kuomba msaada wa wataalamu ni vifaa vya kupimia. Hali ni mbaya. Pia ile dawa ya Senegal iagizwe mapema.
 
I guess wewe ni mtu ambaye uko middle aged probably with a good education too,kwanini unakuwaga na lugha zisizo na ustaarabu? Ni malezi au ni nini?
I am still a student, learning each and everyday of my life. Not educated at all.

Nini maana ya"Ustaarabu" kwani inaweza kuwa "Ustaarabu" kwako unamaanisha ambacho mimi sikielewi. Nipe darsa.

Halikadhalika sielewi maana ya 'middle age', nifahamishe.
 
Huenda hizo Maiki zimemponza,na viongozi wengi wajihadhari nazo maana huwezi jua mwandishi amepita wapi,mara kuhoji watu mitaani, mara vituo vya afya. Mungu amponye mama

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwa sasa naona wangekuwa wanatulia tu na kutoa maelekezo au kuongea na waandishi kipitia video call tu
La sivyo watadondoka wengi sana.

Na wengi unakuta ameshikana na watu halafu anaanza kurekebisha mask inaposhuka hapo ndio kosa
Mungu atunusuru kwa hili janga

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Video ipo mwisho:

Mama huyu jasiri ni mfano wa kuigwa na viongozi wote Tanzania hasa wakati huu wa korona. Ameonesha njia, ujasiri, uwazi na anatoa ushauri mzuri sana, baadhi;
  • Amekuwa na corona bila kujua
  • Watu wanapaswa kupima hata kabla ya kuwa na dalili hii husaidia kuwahi virusi kabla havijaingia kwenye mapafu
  • Korona sio jambo la kuonea aibu na kuficha, tuwe wawazi na ili tupate matibabu mapema
  • Hakuna haja ya kuwa na hofu, cha muhimu ni kuchukua hatua stahiki
Asante sana mwanamke shujaa, umeonesha njia. Wale wanaosema "amepata matatizo ya kupumua" acheni ushamba na ujinga.

Waziri Mkuu wa Uingereza alisema waziwazi kwamba amepata corona. Mwana mfalme wa Uingereza (Prince Charles) alisema waziwazi kwamba ameugua corona. Binti mfalme wa Hispania aliugua corona na kufariki na ikatangazwa waziwazi kwamba ni corona.

Jamani sisi watanzania tunaficha corona na kuona aibu kutaja ili iweje? Huu ndio ujinga wa Africa na ndio maana magonjwa yanatumaliza sana.

Atakayesikiliza atuandikie apa wengine bando la kuplay video limekwisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna siku alikuwa anaongea na waandishi wa habari
Nikona hakuvaa mask ingawa alikuwa nayo
Mungu ampe afya njema
Tujilinde kwa mda wote View attachment 1434781

Sent from my iPhone using Tapatalk
Exacttly. This is an occupational problem. Ona mike ilivyokaribu na mdomo wake? Mama, pole sana. I advice all political leaders be insured against this pandemic and other related diseases. Hi, insurance companies where are you? Jump on this opportunity!
 
Wengi wanachukulia mzaha tu
Mungu atunusuru

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Back
Top Bottom