Joowzey
JF-Expert Member
- Nov 13, 2015
- 13,166
- 13,514
[emoji2][emoji2][emoji2]Nimesema nataka kuviona hivyo vizazi vyangu vinne. Sijui kilometer kusoma hayo wewe wasema.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji2][emoji2][emoji2]Nimesema nataka kuviona hivyo vizazi vyangu vinne. Sijui kilometer kusoma hayo wewe wasema.
Ndio maana.........she is so different! Ni tofauti na wale mbwa ambao kila siku wanatishia kuweka watu ndani
Aah kumbe tayari ufumbuzi unao, kumbe hata mkoani unachukuliwa vipimo? Jambo jema Sana hilo, kwani unahisi umezidiwa sana huwezi kungoja majibu yapelekwe kwenye kituo cha kupimia?Asante, lakini nasikia huko Amana ndiko watu wanakimbia. Mimi nipo mkoani na nimeambiwa vipimo vinapelekwa sehemu moja tu kuchunguzwa.
I am still a student, learning each and everyday of my life. Not educated at all.I guess wewe ni mtu ambaye uko middle aged probably with a good education too,kwanini unakuwaga na lugha zisizo na ustaarabu? Ni malezi au ni nini?
Huenda hizo Maiki zimemponza,na viongozi wengi wajihadhari nazo maana huwezi jua mwandishi amepita wapi,mara kuhoji watu mitaani, mara vituo vya afya. Mungu amponye mama
Sent using Jamii Forums mobile app
Ameshapata misukosuko mingi tu! Hana cha kuogopa!Mnataka kumfanyaje mama yetu, hatutaki.
Atakayesikiliza atuandikie apa wengine bando la kuplay video limekwishaVideo ipo mwisho:
Mama huyu jasiri ni mfano wa kuigwa na viongozi wote Tanzania hasa wakati huu wa korona. Ameonesha njia, ujasiri, uwazi na anatoa ushauri mzuri sana, baadhi;
Asante sana mwanamke shujaa, umeonesha njia. Wale wanaosema "amepata matatizo ya kupumua" acheni ushamba na ujinga.
- Amekuwa na corona bila kujua
- Watu wanapaswa kupima hata kabla ya kuwa na dalili hii husaidia kuwahi virusi kabla havijaingia kwenye mapafu
- Korona sio jambo la kuonea aibu na kuficha, tuwe wawazi na ili tupate matibabu mapema
- Hakuna haja ya kuwa na hofu, cha muhimu ni kuchukua hatua stahiki
Waziri Mkuu wa Uingereza alisema waziwazi kwamba amepata corona. Mwana mfalme wa Uingereza (Prince Charles) alisema waziwazi kwamba ameugua corona. Binti mfalme wa Hispania aliugua corona na kufariki na ikatangazwa waziwazi kwamba ni corona.
Jamani sisi watanzania tunaficha corona na kuona aibu kutaja ili iweje? Huu ndio ujinga wa Africa na ndio maana magonjwa yanatumaliza sana.
Acha double standard kama unawachukia CCM chukia wote bila kujali nani ni nani kwako.Miccm siipendi sana lkn Huyu mama amekua humble na muwazi sana. Namtakia afya njema apone haraka...
Ni mpumbavu huyo mkuu achana naeHuyu mama amepanda nini na amevuna nini?
Mh...
Ulu unina duhu kanyoo noya kukuchola ila tuzenga numba Gamboshi
Exacttly. This is an occupational problem. Ona mike ilivyokaribu na mdomo wake? Mama, pole sana. I advice all political leaders be insured against this pandemic and other related diseases. Hi, insurance companies where are you? Jump on this opportunity!Kuna siku alikuwa anaongea na waandishi wa habari
Nikona hakuvaa mask ingawa alikuwa nayo
Mungu ampe afya njema
Tujilinde kwa mda wote View attachment 1434781
Sent from my iPhone using Tapatalk
Exacttly. This is an occupational problem. Ona mike ilivyokaribu na mdomo wake? Mama, pole sana. I advice all political leaders be insured against this pandemic and other related diseases. Hi, insurance companies where are you? Jump on this opportunity!