johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Watu walisema wakaambiwa wanakwamisha maendeleo. Sasa nao wao sijui wanakwamisha maendeleo?CHADEMA wamekaa kimya, wameanza kutafutana uchawi
Haya mambo yameongelewa sana na wapinzani wakawaita kila aina ya majina ya kejeli na fedheha, sasa wameanza na wao kuongea ukweli. Lilikuwa ni swala la Muda tu.Watu walisema wakaambiwa wanakwamisha maendeleo, sasa nao wao sijui wanakwamisha maendeleo?
TRA au CCM?Ni TRA ndie kaua kariakoo
Acha uchawi bwashee!Na bado, hata hao wachache waliobaki nao wanaweza kuhama msipobadilika..
Hongera kuwa muwaziNi TRA ndie kaua kariakoo
Kwa maagizo kutoka juu.Ni TRA ndie kaua kariakoo
Na Kunenge alikuwa huko huko TRA mkuu!Ni TRA ndie kaua kariakoo
Yeye mwenyewe alikuwa boss huko TRA!Mkuu wa mkoa asihangaike na watendaji mchawi ni TRA
Tukiwa wakweli namna hii bila kuingiza siasa kwenye issues serious tutaiponya nchi yetu.Mkuu wa mkoa asihangaike na watendaji mchawi ni TRA
Wapinzani wakati wanasema haya, si mlikuwa anasema watu walikuwa wanakwepa kodi(wanapiga dili) sasa kaingia Magu kodi lazima zilipwe.Mkuu wa mkoa asihangaike na watendaji mchawi ni TRA
Hakika bwashee!Tukiwa wakweli namna hii bila kuingiza siasa kwenye issues serious tutaiponya nchi yetu.