RC Kunenge: Kariakoo ilikuwa kama Dubai, tujitahidi kuirejesha tuwavutie Wacongo na Wamalawi

RC Kunenge: Kariakoo ilikuwa kama Dubai, tujitahidi kuirejesha tuwavutie Wacongo na Wamalawi

Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam mh Kunenge amesema Dar es salaam ilikuwa kama Dubai ikizihudumia nchi za Afrika mashariki lakini haijulikani kitu gani kimeirudisha nyuma.

Kunenge amewataka watendaji wa jiji la Dar es salaam kuhakikisha Kariakoo inarejea kuwa Dubai ya Afrika mashariki kama ilivyokuwa enzi zile.

Chanzo: ITV

Maendeleo hayana vyama!
Hilo halitawezekana mpaka washamba walioharibu uchumi watoke madarakani
 
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam mh Kunenge amesema Dar es salaam ilikuwa kama Dubai ikizihudumia nchi za Afrika mashariki lakini haijulikani kitu gani kimeirudisha nyuma.

Kunenge amewataka watendaji wa jiji la Dar es salaam kuhakikisha Kariakoo inarejea kuwa Dubai ya Afrika mashariki kama ilivyokuwa enzi zile.

Chanzo: ITV

Maendeleo hayana vyama!
Haitawezekana hadi sera za majukwaani ambazo hazina muelekeo ziachwe 'uncertainty policies'
 
Kuna kibanda cha biashara nilikipata maeneo fulani ..nikaenda TRA kukadiriwa mapato. Nikaulizwa kodi nikataja wakakataa katu katu haiwezekani huo mtaa kulipa kodi ya pango kiasi hicho cha kwangu.... Nikawapelekea mkataba bado wanabisha...wamenipa makadirio ya juu huku mtaji haundani nao. Nina wiki ya pili walisema wanakuja sijawaona.

TRA wamekuwa mungu kwenye biashara...ni lazima kusujudia ndo usonge mbele
Bwashee kwa sasa TRA imekuwa ikihujumu uchumi kwa kasi ya ajabu, inasababisha biashara nyingi kufungwa, madhara yake kiuchumi yataanza kuonekana baada ya miaka miwili ijayo.
 
TOP 10 RICHEST AFRICAN COUNTRIES IN 2020 RANKED BY GDP & PRIMARY EXPORTS
1.Nigeria🇳🇬
2.south Africa🇿🇦
3.Egypt🇪🇬
4. Algeria 🇩🇿
5.Morocco🇲🇦
6.kenya🇰🇪
7.Angola🇦🇴
8.Ethiopia 🇪🇹
9.Ghana 🇬🇭
10.Tanzania 🇹🇿
 
Back
Top Bottom