Hawawezi kutamka serikali lazima atafutwe wa kuangushiwa jumba bovu.
Kwa wenye uelewa tuliona hili mapema linakuja, ukiwa na kiongozi anayetuhumu madaktari kuiba dawa ambazo hata hazipo, anatuhumu walimu kwa wanafunzi kufeli wakati wana madai lukuki, hamna vifaa vya kufundishia, wamerundikiwa mavipindi, darasa moja wanafunzi 100+, analaumu ufisadi na wakati yeye ni kinara, anakemea rushwa kinafiki nk nk.
Sasa ni zamu ya TRA kulaumiwa baada ya serikali kubeba sifa za kijinga za kuvuka malengo ya makusanyo kila mwezi, soon yale mamiradi yao wataanza kuwalaumu wakandarasi ni suala la muda tu!!