RC Kunenge: Kariakoo ilikuwa kama Dubai, tujitahidi kuirejesha tuwavutie Wacongo na Wamalawi

RC Kunenge: Kariakoo ilikuwa kama Dubai, tujitahidi kuirejesha tuwavutie Wacongo na Wamalawi

Walio kimbia soko Ni wale waliopenda shortcut,wa Congo waaminifu bado wanawndelea kuja,wamalawi waaminifu bado wanawndelea kuja,utitili wa watu wa wacongo na wamalawi mwanzo haukuwa wa tija,walikuwa wengi Tena Sana lakini walikuwa wanakuja wanachota bidhaa bulebule ,wanaondoka,kwa Sasa ukija kariakoo unachukua mizigo halali,unaacha Kodi halali,yaani ni mwendo wa win win stuation.
Wewe siyo mzima. Ungeacha kwanza wenyr akili timamu wajadili.
 
CHADEMA wamekaa kimya, wameanza kutafutana uchawi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Sasa Lisu alikuja kupoteza muda wake bure wakati akijua wapiga kura wengi ni wajinga na wengi ni CCM sasa alitegemea atapita? mnalaumu tume bure
Naona unakazana kuhamisha magoli. Tufanye kuwa mmeshinda kwa kishindo hakuna fraud yoyote, case closed!!

Haya turudi kwenye mada, NINI KIMEUA 'DUBAI YA EAST AFRICA'?
 
Nini kisichojulikana hapo na yeye asijitoe ufahamu. Mnauwa biashara kwa makorokocho yenu ya fikra za kimaskini then mnaulizana shida nini?? Amuulize namba moja shida nini
 
Mzee wangu ref Tax administration act 2015 humo utakuta mafuvu na vichwa vya wafanyabihashara wote. Hence hakuna cha kufanya maana bunge na serikali ndio walio pitisha hayo. End
Mchawi yupo humu, TRA ni watumwaji tu. Maana TRA ipo miaka yote, kwa nn mambo haya tuyaone miaka hii michache.
 
Tukiwa wakweli namna hii bila kuingiza siasa kwenye issues serious tutaiponya nchi yetu.
Wewe ndio unaona tz ni nchi yetu ila ngosha anaona tz ni mali yake yeye mwenyewe,
ukishafilisi wananchi wako wakawa masikini then unawataka wakongo waje wauziwe vitu na nani?
Tunaomba hii korona itusaidie kwani ndio pekee inaweza aiacha tz ikarudi kama awali.Najua nimeeleweka.
 
TRA TRA TRA TRA TRA TRA TRA TRA TRA TRA TRA TRA TRA TRA TRA
 
TOP 10 RICHEST AFRICAN COUNTRIES IN 2020 RANKED BY GDP & PRIMARY EXPORTS
1.Nigeria🇳🇬
2.south Africa🇿🇦
3.Egypt🇪🇬
4. Algeria 🇩🇿
5.Morocco🇲🇦
6.kenya🇰🇪
7.Angola🇦🇴
8.Ethiopia 🇪🇹
9.Ghana 🇬🇭
10.Tanzania 🇹🇿
hii jidipii yao sijui wanaangaliaga nini..Nigeria kila siku umeme kukatika ni kawaida na upuuzi mwingine kibao...
 
Back
Top Bottom