kidadari
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 8,647
- 9,604
Tiaraei naye anapokea maelekezo toka kwa malaika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tiaraei naye anapokea maelekezo toka kwa malaika
UongooAcha uchawi bwashee!
Wapinzani wameiharibu KariakooMkuu wa mkoa wa Dar es salaam mh Kunenge amesema Dar es salaam ilikuwa kama Dubai ikizihudumia nchi za Afrika mashariki lakini haijulikani kitu gani kimeirudisha nyuma.
Kunenge amewataka watendaji wa jiji la Dar es salaam kuhakikisha Kariakoo inarejea kuwa Dubai ya Afrika mashariki kama ilivyokuwa enzi zile.
Chanzo: ITV
Maendeleo hayana vyama!
Haijulikani kitu gani kimeirudisha nyuma? Aache UjingaMkuu wa mkoa wa Dar es salaam mh Kunenge amesema Dar es salaam ilikuwa kama Dubai ikizihudumia nchi za Afrika mashariki lakini haijulikani kitu gani kimeirudisha nyuma.
Kunenge amewataka watendaji wa jiji la Dar es salaam kuhakikisha Kariakoo inarejea kuwa Dubai ya Afrika mashariki kama ilivyokuwa enzi zile.
Chanzo: ITV
Maendeleo hayana vyama!
Mnawageuka TRA wakati nyie ndo mnawatuma.Mkuu wa mkoa asihangaike na watendaji mchawi ni TRA
Sasa anacho lalamika RC ni kipi? Kwa hiyo we una uelewa kuliko RC mwenyewe? Kwamba RC anawahitaji hao wapenda shotcut ili kunusuru hali ya sasa? Kwamba RC anataka kukaribisha tena lose-win situation?
Ndiyo chama kikuu cha upinzanini, ilianza kulizungumzia hili swala tangu 2016 lakini hao CCM waliwaita ni wasaliti wasiopenda kodi ikusanyiwe, sasa CHADEMA wametulia wao CCM wameanza kuongea yaliyoongelewa 2016 na CHADEMA mfano Nape na Msukuma na leo Kunenge.Chadema ndiyo waliosababisha soko life??
Na wanufaika wa hizo sera mbovu.Usicho kielewa ni kuwa watu wengi wanao jishughulisha na shughuli rasmi wako kinyume na sera za hii serikali kwa kuwa wanakutana na madhara yake. Sasa kwa akili zenu mbovu wakilalamika kuumizwa na hizi sera mnawaita wapinzani.
Kwa mujibu wa TWAWEZA, CCM inapendwa na masikini, wasio na elimu, kina mama na wazee. Ukiyatazama hayo makundi yote yamejaa watu tegemezi ambao hawajishughulizi na uzalishaji hivyo hawawezi jua madhara ya hizo sera mbovu ndio maana wanaishabikia CCM.
Hahahaaaa....... Tumeingia choo cha kike bwashee!
Pumbavu mkubwa weweWalio kimbia soko Ni wale waliopenda shortcut,wa Congo waaminifu bado wanawndelea kuja,wamalawi waaminifu bado wanawndelea kuja,utitili wa watu wa wacongo na wamalawi mwanzo haukuwa wa tija,walikuwa wengi Tena Sana lakini walikuwa wanakuja wanachota bidhaa bulebule ,wanaondoka,kwa Sasa ukija kariakoo unachukua mizigo halali,unaacha Kodi halali,yaani ni mwendo wa win win stuation.
Ni maagizo ya jiwe ndio yameua kariakoo.Ni TRA ndie kaua Kariakoo
[emoji23][emoji23][emoji23]Taxforce Imekuwa ya ajabusana so kwa utawala wa CCM kariakoo inaelekea kufa kabisa
Naona ndugu mmeanza kugongana vichwa... Hahhhahaaaahaaa Ngoja Siye tuchukue Jembe...Unambishia Kunenge?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mbatizaji naona hivi karibuni kama somo unalielewa elewa hivi... for the fourth time nakubaliana na wewe.Hahahaaaa....... Tumeingia choo cha kike bwashee!
Ukimuacha muafrika akusanye data, report itayotokea itakufanya uamini uchawi ni bora zaidi ya sayansi.hii jidipii yao sijui wanaangaliaga nini..Nigeria kila siku umeme kukatika ni kawaida na upuuzi mwingine kibao...
Kwahiyo RC muongo eeee..Walio kimbia soko Ni wale waliopenda shortcut,wa Congo waaminifu bado wanawndelea kuja,wamalawi waaminifu bado wanawndelea kuja,utitili wa watu wa wacongo na wamalawi mwanzo haukuwa wa tija,walikuwa wengi Tena Sana lakini walikuwa wanakuja wanachota bidhaa bulebule ,wanaondoka,kwa Sasa ukija kariakoo unachukua mizigo halali,unaacha Kodi halali,yaani ni mwendo wa win win stuation.
Hawa jamaa vichwa maji sana, yaani wakati wafanyabiashara wanalia biashara zinakufa wao wanaweka mkakati kufanya biashara 24hrs.Ule mpango wa kufanya biashara kkoo 24hours umeishia wapi au tarehe bado?