Mzee wangu ref Tax administration act 2015 humo utakuta mafuvu na vichwa vya wafanyabihashara wote. Hence hakuna cha kufanya maana bunge na serikali ndio walio pitisha hayo. EndMkuu wa mkoa wa Dar es salaam mh Kunenge amesema Dar es salaam ilikuwa kama Dubai ikizihudumia nchi za Afrika mashariki lakini haijulikani kitu gani kimeirudisha nyuma.
Kunenge amewataka watendaji wa jiji la Dar es salaam kuhakikisha Kariakoo inarejea kuwa Dubai ya Afrika mashariki kama ilivyokuwa enzi zile.
Chanzo: ITV
Maendeleo hayana vyama!