RC Kunenge: Kariakoo ilikuwa kama Dubai, tujitahidi kuirejesha tuwavutie Wacongo na Wamalawi

RC Kunenge: Kariakoo ilikuwa kama Dubai, tujitahidi kuirejesha tuwavutie Wacongo na Wamalawi

Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam mh Kunenge amesema Dar es salaam ilikuwa kama Dubai ikizihudumia nchi za Afrika mashariki lakini haijulikani kitu gani kimeirudisha nyuma.

Kunenge amewataka watendaji wa jiji la Dar es salaam kuhakikisha Kariakoo inarejea kuwa Dubai ya Afrika mashariki kama ilivyokuwa enzi zile.

Chanzo: ITV

Maendeleo hayana vyama!
Kweli Kabisa Kunenge hujui sababu, kweli?
 
Kumpata mteja ni kazi sana ila kumpoteza ni rahisi sana...watu waliokata mguu kuja kariakoo kutoka nchi jirani ,kuwatoa huko walikohamia its longterm process
Ni swala lakua na bidhaa nyingi na bei nzuri,watarudi faster, mfanyabiashara siku zote hapendi usumbufu!!
 
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam mh Kunenge amesema Dar es salaam ilikuwa kama Dubai ikizihudumia nchi za Afrika mashariki lakini haijulikani kitu gani kimeirudisha nyuma.

Kunenge amewataka watendaji wa jiji la Dar es salaam kuhakikisha Kariakoo inarejea kuwa Dubai ya Afrika mashariki kama ilivyokuwa enzi zile.

Chanzo: ITV

Maendeleo hayana vyama!
Kariakoo Sasa hivi ilitakiwa iwe inatoa Huduma mchana na usiku,kama Kamanda Kova alivyosemaga!!
 
Inaumiza Sana.. basi tuu. Mi nafikiri Ingependeza mtu unachuma chochote huko nje unaleta nyumbani bila kubugudhiwa Watu wasingekuwa wanaficha mahela huko nje
Magufuli analinda Mali za Umma,hizo pesa zako ulizopiga huko Ughaibuni hana habari nazo! Msipotoshe watu wakaogopa kuleta pesa kutuko nje! Ila hizo pesa zako usizilete ndani ili kuhujumu uchumi wa Nchi, maana nazo zitakwenda na Maji!!
 
Mimi napiga sana pesa kutoka Ughaibuni,njoo unikamate tuone!!
Na Mali zangu zote ziko kwa jina langu,Mimi siyo Kama wale wapiga pesa ya Umma wanao weka Mali zao kwa majina ya ndg!!
 
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Mh. Kunenge amesema Dar es salaam ilikuwa kama Dubai ikizihudumia nchi za Afrika mashariki lakini haijulikani kitu gani kimeirudisha nyuma.

Kunenge amewataka watendaji wa jiji la Dar es salaam kuhakikisha Kariakoo inarejea kuwa Dubai ya Afrika mashariki kama ilivyokuwa enzi zile.

Chanzo: ITV

Maendeleo hayana vyama!
Ukijiona una mbio, msifie na anaekukumbiza

Huyu alikuwa anaonekana bora kwa sabab ya Makonda (huo ndo ukweli)

He is so weak, Miradi mingi dsm inaenda slow Sana.. Sitashangaa jiwe akimtumbua
 
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Mh. Kunenge amesema Dar es salaam ilikuwa kama Dubai ikizihudumia nchi za Afrika mashariki lakini haijulikani kitu gani kimeirudisha nyuma.

Kunenge amewataka watendaji wa jiji la Dar es salaam kuhakikisha Kariakoo inarejea kuwa Dubai ya Afrika mashariki kama ilivyokuwa enzi zile.

Chanzo: ITV

Maendeleo hayana vyama!
uchaguzi wa mwaka 2015 ulikuwa mwanzo wa kudorora kwa karikoo
 
Back
Top Bottom