RC Kunenge: Mvua zimesababisha vifo vya watu 12, nyumba 107 zimesombwa na maji na nyingine 800 zimezingirwa!

RC Kunenge: Mvua zimesababisha vifo vya watu 12, nyumba 107 zimesombwa na maji na nyingine 800 zimezingirwa!

Poleni sana wahanga.Ingekuwa busara bwana yule mkuu angesitisha kampeni kuwapa nafasi watendaji nae pia kutoa support wahanga. Japo najua mtazamo wake kwa majanga hayakuwa katika ilani ama ratiba yake. Rejea tetemeko Kagera na mafuriko kusuni..." Waacheni wa mabondeni wafurike kisha nyie wa vilimani muwauzie chakula bei juu...."
 
... yap! Hiyo ndio maana halisi ya maendeleo ya watu; miradi inayogusa moja kwa moja the common wananchi badala ya kuonesha ufahari usio na maana kama kujenga international airport kijijini; kununua madege ya kifahari ambayo since then yako grounded; madaraja ya baharini ilhali watu wanakufa kwa mafuriko simply mitaro imeziba or the masses wanapata adha za ajabu mvua zinaponyesha!
Una point lakini chumvi kibao. Chato hakuna International Airport bali runway pana ya lami. Ndege inawezekana ziko under utilized lakini suala la kuwa grounded ni uongo mweupe.
 
Hii ni taarifa tu, je hao wahanga wa mafuriko wanasaidiwaje?!

Kwani hayo mafuriko yame letwa na Serikali [in Magufuli voice] !?.Jirani yangu ofisini amepoteza Watoto wawili.

R.I.P. Marehemu wote.
Poleni wahanga wa hili balaa.
 
Kwani hayo mafuriko yame letwa na Serikali [in Magufuli voice] !?.Jirani yangu ofisini amepoteza Watoto wawili.

R.I.P. Marehemu wote.
Poleni wahanga wa hili balaa.
Ohhh pole kwa jirani yako. Wahanga wanahitaji msaada na sio RC anaishia kutoa habari tu!![emoji20]
 
Ohhh pole kwa jirani yako. Wahanga wanahitaji msaada na sio RC anaishia kutoa habari tu!![emoji20]

Hili tukio lime niumiza sana ukizingatia na mimi ni Mzazi baasi tu hamna cha kufanya.
 
Haya madhara yametokea kwenye majimbo yenye viongozi wa Chadema.
Nawashauri wananchi wachague CCM sababu wameona kwa majimbo ya CCM mambo shwari, hali za wananchi ni nzuri, mafuriko hamna, madhara hamna.
 
lakini wakati wakitaka kupatiwa matibabu, walionekana wameshafariki dunia,
Ahahahaha!!!!! poleni sana Watanzania Kwa kujichomeka any way niko Mbagathi njia panda ya kwenda Nairobi!
hivi wewe Mleta mada ni mtanzania kweli? au ndiyo nyie wa Kanda maalum?

Jamani nisaidieni hapa huko TZ Mahiti zenu zinaongea? au tuseme na wewe u mahiti? sikia! ''Watu wanataka kupatiwa matibabu wanaonekana wamesha fariki Dunia'' Ooh! kenya hawajui lugha hapo chacha!
 
Back
Top Bottom