ILISACHA
JF-Expert Member
- Oct 29, 2019
- 2,184
- 4,030
Marehem alhaj Musa Kunenge aliwahi kufanya kazi nyanza co. union akampa shavu mzee baba enzi hizo Ila hawana undugu kabisa kunenge ni mjita kwa kabilaNae ni mtoto wa dada ama?!🤔
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Marehem alhaj Musa Kunenge aliwahi kufanya kazi nyanza co. union akampa shavu mzee baba enzi hizo Ila hawana undugu kabisa kunenge ni mjita kwa kabilaNae ni mtoto wa dada ama?!🤔
Nimesema hivyo Kwa sababu alie toka alipenda kutumia udini huyu ni muislam Ila hata mm mkiristo nampenda Sana wakwanza alileta chuki endUmesema wewe sio muislam?
Inahusiana vipi??
Utendaji wa mtu lazima muwe dini moja ndo uuone na kuukubali???
Acha masihara sheh wanguTusisahau, huyu naye ni ndugu wa mkuu