ILISACHA JF-Expert Member Joined Oct 29, 2019 Posts 2,184 Reaction score 4,030 Oct 19, 2020 #21 Mzee Kigogo said: Nae ni mtoto wa dada ama?!🤔 Click to expand... Marehem alhaj Musa Kunenge aliwahi kufanya kazi nyanza co. union akampa shavu mzee baba enzi hizo Ila hawana undugu kabisa kunenge ni mjita kwa kabila
Mzee Kigogo said: Nae ni mtoto wa dada ama?!🤔 Click to expand... Marehem alhaj Musa Kunenge aliwahi kufanya kazi nyanza co. union akampa shavu mzee baba enzi hizo Ila hawana undugu kabisa kunenge ni mjita kwa kabila
T TumainiEl JF-Expert Member Joined Jan 13, 2010 Posts 6,782 Reaction score 12,716 Oct 25, 2020 Thread starter #22 The Boss said: Umesema wewe sio muislam? Inahusiana vipi?? Utendaji wa mtu lazima muwe dini moja ndo uuone na kuukubali??? Click to expand... Nimesema hivyo Kwa sababu alie toka alipenda kutumia udini huyu ni muislam Ila hata mm mkiristo nampenda Sana wakwanza alileta chuki end
The Boss said: Umesema wewe sio muislam? Inahusiana vipi?? Utendaji wa mtu lazima muwe dini moja ndo uuone na kuukubali??? Click to expand... Nimesema hivyo Kwa sababu alie toka alipenda kutumia udini huyu ni muislam Ila hata mm mkiristo nampenda Sana wakwanza alileta chuki end
M mabaibo JF-Expert Member Joined Sep 23, 2018 Posts 308 Reaction score 254 Oct 25, 2020 #23 Bujibuji said: Tusisahau, huyu naye ni ndugu wa mkuu Click to expand... Acha masihara sheh wangu