RC Makalla atoa Wiki moja kukomeshwa biashara ya ngono, awataka Polisi kuvaa kiraia na kujifanya wateja

makalla-12-1080x570-1.jpeg

Picha: Mkuu wa Mkoa Amos Makalla

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Amos Makalla ametoa Wiki moja kwa Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi kuhakikisha wanadhibiti watu wote wanaofanya biashara ya Ngono kwenye eneo la Manzese Uwanja wa Fisi baada ya suala hilo kulalamikiwa na Wananchi.

Malalamiko hayo yametolewa wakati wa Mwendelezo wa ziara ya kusikiliza na kutatua Migogoro ya Wananchi Jimbo la Kinondoni ambapo wamedai kuwa imefikia hatua biashara hiyo inahusha pia utumikishaji wa kingono kwa watoto wadogo Jambo ambalo ni kinyume na sheria na maadili.

Kutokana na hilo RC Makalla amewaelekeza Jeshi la Polisi kuwatuma askari watakaovaa nguo za Kiraia na kuwanasa watu wote wanaofanya biashara ya ngono.

Aidha RC Makalla ameelekeza Viongozi wa kata na Mtaa huo kuhakikisha wanatoa ushirikiano wa kutosha kumaliza suala hilo.

Bongo Five
Mimi ndiyo nawashangaa Sana viongozi wa Tanzania ,yaani unampa nafasi mtuhumiwa ya kujipanga,unamwbia nitakuja kukukamata wiki ijayo.
 
makalla-12-1080x570-1.jpeg

Picha: Mkuu wa Mkoa Amos Makalla

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Amos Makalla ametoa Wiki moja kwa Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi kuhakikisha wanadhibiti watu wote wanaofanya biashara ya Ngono kwenye eneo la Manzese Uwanja wa Fisi baada ya suala hilo kulalamikiwa na Wananchi.

Malalamiko hayo yametolewa wakati wa Mwendelezo wa ziara ya kusikiliza na kutatua Migogoro ya Wananchi Jimbo la Kinondoni ambapo wamedai kuwa imefikia hatua biashara hiyo inahusha pia utumikishaji wa kingono kwa watoto wadogo Jambo ambalo ni kinyume na sheria na maadili.

Kutokana na hilo RC Makalla amewaelekeza Jeshi la Polisi kuwatuma askari watakaovaa nguo za Kiraia na kuwanasa watu wote wanaofanya biashara ya ngono.

Aidha RC Makalla ameelekeza Viongozi wa kata na Mtaa huo kuhakikisha wanatoa ushirikiano wa kutosha kumaliza suala hilo.

Bongo Five
Ukisikia kesi ya nyani kuamuliwa na ngedere, ndiyo hii sasa.
 
Hizi ultimatum anazotiaga zina meno kweli?
 
RC huna Kazi ya kufanya? Hangaika na kero za wananchi sio papuchi za watu hazikuhusu..Usiwape polisi mzigo usikuwa na tija
 
Prostitution ni immoral behaviour hata ukiifanya kuwa ctiminal bado huwezi kuliondoa. Mfano polisi wakiwakamata watawapeleka wapi na kwa muda gani? Je! Magereza tujaze machangudoa mahabusu maana kuwafunga mi vigumu ? Hili ni tatizo la kijamii na linahitaji kutibiwa kijamii jamii
 
Dalili za kukosa ubunifu na kukosa kazi za kufanya.

Hii biashara imekuwapo hata kabla ya nabii Issa.

Hii biashara iko duniani kote na katika miji yote.

Wewe kama si mteja au mdau inakuhusu nini?

Hivi wa machinga kesha malizana nao?
Huyu jamaa ni bashite aliyepooza, matamko kila siku.
Alisema wamachinga wasipange bidhaa mbele ya maduka, wiki ya pili inakatika Sasa wamachinga wanaendelea Kama kawa
 
Moja ya biashara kongwe
Ukiondoa ukahaba nchi,majiji mazima
Yatazimia

Ova
 
Jamani, jamani, tukubaliane. Dunia imebadilika. We can not rewind it! Ni sawa na mto. Mto umetoka Nyanda za juu kusini na Sasa Karibu unakaribia kuingia baharini (siku za mwisho. Kumbukeni siku za Nuhu), halafu Leo unataka kuurudisha mto Nyanda za juu kusini? It's quite impossible! Acha wanaojiuza. Nyumba zetu zimeficha maovu mengi sana! Ngono za hovyohovyo! Kaka na dada, mjomba sijui na nani, nk, nk. Dunia imekwisha jamani, tuamini hilo?
 
Mnapotaka Kuwaondoa hawa Makahaba ( Malaya ) hapa Dar es Salaam Sisi tusiojua Kutongoza ( Domo Zege ) ila tunajua tu Kuwanunua na Kuwabandua mmetufikiriaje?
Darling soap zipo mkuu!!
 
makahaba hata enzi za Yesu walikuwepo hawajaanza leo kwa hio kama mumekosa kazi za kufanya kaeni kwa kutulia hayo hayana faida yoyote kwa taifa
 
[emoji3][emoji3][emoji3] RC inawafundisha police wakati ndio wateja wakubwa
 
RC umeanzisha vita ngumu hii sijui kama utaiweza. anyway tunakuombea maana ni kama vile umeamua kuwapa ulaji askari wako
 
Back
Top Bottom