RC Makalla atoa Wiki moja kukomeshwa biashara ya ngono, awataka Polisi kuvaa kiraia na kujifanya wateja

RC Makalla atoa Wiki moja kukomeshwa biashara ya ngono, awataka Polisi kuvaa kiraia na kujifanya wateja

Oya mzeee acha mambo ya choyo bhana sisi wengine domo zege tutaponea wapi
 
Mimi nashauri badala ya kukimbizana na wapenda starehe hiyo wao waweke bei elekezi kulingana na uzito (Fatuma) na guu ya dege, kisha waweke tozo. Pesa zitakazopatikana zitumike kujenga gesti za serikali.
 
Mi mwenyewe nimemuona BWEGE kweli hakuna malaya anaesimama barabarani siku hizi...
 
Kule Handeni askari wakikataliwa na malaya wanaanza kuwafanyia fujo na kuwashika papa kwa nguvu. Wakajiundia tume hadi leo hawajatoa majibu.
 
[emoji848]
IMG_20210917_183745.jpg
 
Back
Top Bottom