RC Makalla: DSM ina upungufu wa Maji wa Lita milioni 70 kwa siku sawa na 26%, Wananchi tumieni maji kwa uangalifu!

Hawa wateule wa Rais wanapojifanya ni wataalam wa kila kitu kwamba wanaweza wakawa wasemaji bila facts.

Wapeni wananchi Maji wanayogharamikia kupitia tozo mbali mbali. Tunahitaji huduma za kijamii zilizo bora sio ngonjera za Makalla
 
Tatizo likitokea daresalam ndio kila MTU hujifanya mtaalam wa kushauri ila huku mikoani.....tunajiongeza tuu.
 
Hiyo mika 60 popilation ya watu ili stuck au imeongezeka?
Hiyo reservior iko wapi? Na kwamba miaka uote iko full na inahudumia jiji na kwa ongezekeko la watu bila shida?
Kazi ya serikali ndio hiyo. Wanapaswa waweke miondombinu kwa ajili ya kesho. Mfano kwa Sasa mahitaji ya umeme ni MW 1300, Ila wanajenga bwawa na kuzalisha umeme wa gesi ili kuwa na MW 3000, kwa ajili ya kesho.
Inapaswa wafanye hivyo kwenye maji na kwenye mahitaji mengine.
 
Yes ni kazi ya serikali. But do we have to ignore kwamba hakuna ukame bali ni siasa?
Am speaking nje ya dar sasa? Kuna mikoa ilizoeleka kwa barid maji kutiririka muda wote. Leo hii wanaongoza kwa joto na maji ya kutafuta kwa tochi ?
 
Kwanini hilo aliseme leo wakati tayari watu wameshaanza kuteseka na hilo tatizo?

Anajua wajibu wa mtumishi wa umma?

Yaani wakati vyanzo vya maji vinaanza kukauka kwanini hawakuttangazia kuwa kuna ukame unakuja?

Huyo hafai kuendelea kubakia kwenye ofisi za walipa kodi.
 
Al maruhumu ndio maana hakuwahitaji watu wa siasa za manene kama makalla alitaka vitendo kama sabaya!
 
Kuna comments zinavunja mbavu humu.

Someni habari yote, RC Makala ameongea kutoka site baada ya kujionea na kuongea na wataalam.

Ni kweli CCM ina mazuzu lakini kuna wakati yanaongea ukweli. TUSIYAONEE!
 
Maziwa yamekauka?
Kila eneo kuna mito mikubwa na maziwa.
Waache kumkufuru Mungu
 
Bomba la mafuta Hoima hadi Tanga
Basi tufanye kutoa Bomba la Maji kutoka hata Mwanza kuleta Dar es Salaam kwani haiwezekani?
 
Kuna comments zinavunja mbavu humu.

Someni habari yote, RC Makala ameongea kutoka site baada ya kujionea na kuongea na wataalam.

Ni kweli CCM ina mazuzu lakini kuna wakati yanaongea ukweli. TUSIYAONEE!
Sakala ataongea nini cha maana zaidi ya upuuzi tu!?
 
Maji yapo mengi tuu ziwa Tanganyika waseme tumekosa akili ya kusafirisha maji kwa usalama toka Kigoma mpaka Daslm...na hatuwezi kutunza maji pia mwaka jana maji yalikua yanamwagika hapo Ruvu miezi kadhaa tuu mvua imechelewa tunalialia hili ni tatizo kubwa la kukosa maarifa...
 
Upumbavu mtupu! Miaka 60 ya uhuru jiji kubwa kama Dar halina reservoir ya uhakika ya kutosheleza hata miaka mitatu ya ukame? Halafu kuna mazuzu watashangilia. Akili sifuri.
 
Hakika, juzi tu maji yamejaa na kuua miundombinu leo tuna shida ya maji! Si shida ya maji, ni shida ya akili.
 
RC MAKALLA: UKAME NDIO CHANZO CHA UPUNGUFU WA MAJI.

- Asema mvua za Vuli zimechelewa ambazo huanza mwezi October Na upungufu wa maji ni lita 70 Milioni kwa siku...
Huyu RC, ubongo wake haiko sawa kwa tafiti ya ovyo ..... namna hyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…