RC Makalla: DSM ina upungufu wa Maji wa Lita milioni 70 kwa siku sawa na 26%, Wananchi tumieni maji kwa uangalifu!

lile jamaa aka Mwamba zee la maamuzi magumu lingewacheki halafu lingesema hiii...getegete..

ungesikia linaachia hela maji ya bahari yafanyiwe mambo au vuta maji ziwa victoria yalete Dom na Dar....basi hapo ungesikia kelele kila kona ya dunia.

Huku lenyewe likienda zake chato kupumzika na msafara wake wa road to road...likirudi huko mkandarasi tayari kashapatikana linazindua mradi kazi ianze, kwishney.

RIP Mwamba.

Sasa nyie endeleeni na demokrasia yenu mkose hata maji ya kunywa... mfe kwa kiu wakati mmepewa akili na maarifa na mkapewa ardhi yenye kila kitu.
 
Hiyo mika 60 popilation ya watu ili stuck au imeongezeka?
Hiyo reservior iko wapi? Na kwamba miaka uote iko full na inahudumia jiji na kwa ongezekeko la watu bila shida?
Hivyo vitengo vya Planning huko serikalini vinaplan nini?
 
Yule jamaa nilimfananisha na msolopa ganzi mwana wa kazi!

Hapa Kazi Tu!
 
Kwahivyo ndio kusema hakuna tone la maji ya mot Ruvu linaollingia baharini au?
 
Sasa sisi wenye ma swimming pool na ma landscape nyumbani tufanyeje? Tunahitaji maji mengi.
 
Kweli ofisi za serikali zimejaa wajinga wengi Tanzania kunaukame?? Kweli!

Kuchelewa kwa mvua za vuli tuu tunaaminishwa tuna ukame!!!

Tusielezwe upumbavu hapa sisi sio mazuzu ukame ni kukosekana kwa mvua kwa miaka kadhaa/ misimu kadhaa ya mvua

Serikali ilipaswa kuwa na teknolojia ya kuhifadhi maji yasiishie baharini at least maji yaachiwe pale mvua zinapokuja kwa wingi.
Maelezo mengine yoyote ni upumbavu mkubwa. Unashindwa kuzungusha maji unaacha yamwagike baharini alafu mnalalama ukame tumwachie Mungu!

Stupid leaders akili kisoda
 
Msituletee upuuzi nyie viongozi. Kila siku inapoisha napata hasira na uongozi wenu kwanzia juu kabisa. Mbona kama mnatukomesha? Why now kila kitu kiwe kigumu?
 
Nchi ishakua ngumu sana hii, bora tugawane tu kila mmoja achukue chake.
 
Upumbavu mtupu! Miaka 60 ya uhuru jiji kubwa kama Dar halina reservoir ya uhakika ya kutosheleza hata miaka mitatu ya ukame? Halafu kuna mazuzu watashangilia. Akili sifuri.

Maajabu haya
 
Kwa hiyo mvua isiponyesha atasema "Wananchi jiandaeni kufa maana hali sasa ni mbaya".

Ningekuwa Mimi ndio huyo Kiongozi ningetangaza "mwenye mawazo ya kuwezesha maji ya bahari kutumika namkaribisha ofisini...iwe popote pale atakapopata taarifa hii namkaribisha".
 
Hata baada ya yule muwekezaji kukamatwa bado upungufu upo?
 
Hakika, juzi tu maji yamejaa na kuua miundombinu leo tuna shida ya maji! Si shida ya maji, ni shida ya akili.
Harafu kukosa akili wanataka wote tukubali mvua imechelewa huko Sudan mvua wanapata mara chache kwa mwaka mmoja na miaka mitatu mingine hakuna mvua wanaishije...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…