Mbona kwenye bar ya mkuu wao pale Tegeta na ile ya kule Chanika pombe ni masaa 24 na hakuna kima anaye thubutu kuja kukubughudhi? Wanaonea raia tuu. Kwenye bar za askari wa JWTZ, MT na hao PT watu wanakula gambe 24hrs. Yaani hata saa moja asubuhi unaweza ukakaa ukaagiza mchemsho na lager ya kuzimulia kisha ukaendelea