RC Makalla, futa amri ya kuzuia watu kunywa bia mpaka muda wa kazi uishe, amri ambayo iliwekwa na Makonda

RC Makalla, futa amri ya kuzuia watu kunywa bia mpaka muda wa kazi uishe, amri ambayo iliwekwa na Makonda

Njoo kimara uonge uonevu wa polisi wa huku walivyo waonezi. Wanazunguka na magari kutishia watu
Mbona kwenye bar ya mkuu wao pale Tegeta na ile ya kule Chanika pombe ni masaa 24 na hakuna kima anaye thubutu kuja kukubughudhi? Wanaonea raia tuu. Kwenye bar za askari wa JWTZ, MT na hao PT watu wanakula gambe 24hrs. Yaani hata saa moja asubuhi unaweza ukakaa ukaagiza mchemsho na lager ya kuzimulia kisha ukaendelea
 
Back
Top Bottom