RC Makalla, inaonekana hujui tatizo la wavamizi ardhi unaopambana nao

MakinikiA

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2017
Posts
5,104
Reaction score
6,827
Salama wandugu,

Nimemsikiliza leo Makala sijamuelewa kabisa,yeye anadai anapambana na wavamizi ardhi, hivi ardhi inakaa tu idle ina vichaka haziendelezwi halafu wananchi wasivamie lazima wavamie na wapo sahihi kwa sababu watu wa nchi hii ni selfish sana wao.

Wanaona kumiliki ardhi kubwa ndio fahari hata kumiliki nchi nzima wanatamani, na mbaya zaidi unakuta anayemiliki sio mwekezaji ni mtu kafanya ujanjaujanja kahozi ardhi kubwa anaona sifa tu.

Mfano nilipo Mimi pamepimwa Tayari Ila tumezungukwa na vichaka mtu ana shamba hata kulima Mihogo ameshindwa anaambiwa kata viwanja uza hataki unategemea nini hapo.
 
Acha upopoma fala ww
 
Back
Top Bottom