RC Makalla: Machinga wote Dar walio katika hifadhi ya barabara, Wataondolewa na vibanda vyao kuanzia Septemba 13, 2021

Nilipanda Bolt dereva mmoja akaniambia hili jambo jamaa

Nikaona si sawa wanajaza njia
 
Ametoa mfano wa hayo maeneo rasmi mbali na Machinga complex?
 
Nasubiria utekelezaji
 
Safi sana! jamaa wamegeuka kero kubwa katikati ya mji hata Mwenge pia!
Pale mwenge ile barabara ya kuingia walishafanya yao, kuingia au kugeuza gari ni mtihani hawataki hata usogelee vibanda vyao.
 
Hili lilikuwa suala la muda tu. Mji mzima umekaa bila utaratibu na umekuwa kero na uchafu. Wakati ni muhimu kila mtu apewe nafasi ya kutengeneza riziki yake, mamlaka ziwe proactive kuandaa maeneo na kuweka miundo mbinu muafaka ili iwe rahisi watu wote wajihusishe na kazi halali za kutafuta riziki.
 
Ondoa wote jiji lipangwe sasa kibiashara

Machadema watapinga na hili
Je wataweza wakumbuke ni wapiga kura wenu je chadema ndio waliowaagiza wapange hizo biashara barabarani bac haya

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…