Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani Ilala iko Pwani?Dar es salaam ni mkoa
Ilala ni Jiji!
Nimekuelewa bwashee!Chadema watageuka watetezi wa machinga na ndiyo hapo Amoss Makala atafukuzwa ukuu wa mkoa.
Wewe huelewi maana ya jiji!Kwani Ilala iko Pwani?
Itapigwa simu moja tu toka juu kusitisha zoezi zima unapunguza kula za mheshimiwa. Badala yake yeye atatoka na atatuacha sisi wamachinga.Haya ni maamuzi magumu katika siasa za Bongo, nampongeza sana RC Makala na namuunga mkono kabisa na kumtakia mafanikio katika zoezi hili na utumishi wake kwa ujumla
Ondoa wote jiji lipangwe sasa kibiashara
Machadema watapinga na hili
Wanaudhi Sana hao watu,kupangwa hawataki ila kujipanga ndio wanatakaMkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Amos Makalla ameingia Kariakoo kwa kutumia basi la Mwendokasi (haijulikani alikotokea) na kutoa Maagizo kwamba baada ya siku 7 njia zote za watembea kwa miguu kwenye eneo hilo , ambazo zimejaa wamachinga , mama lishe , wachoma mihogo na wauza Alikasusi ziwe wazi
Bali haijulikani ni wapi wamachinga hao watapelekwa .
Kinachofanywa sio kuwazuia kufanya kazi bali watatengenezewa mazingira rafiki ya kuuza bidha zao bila kuleta kero na usumbufu kwa watumiaji wengine wa barabara sasa kukabwa mtaani kunaingiaje hapo bwasheeSubiri kukabwa mitaani!
Tatizo utekelezajiMkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Amos Makalla ameingia Kariakoo kwa kutumia basi la Mwendokasi (haijulikani alikotokea) na kutoa Maagizo kwamba baada ya siku 7 njia zote za watembea kwa miguu kwenye eneo hilo , ambazo zimejaa wamachinga , mama lishe , wachoma mihogo na wauza Alikasusi ziwe wazi
Bali haijulikani ni wapi wamachinga hao watapelekwa .
Aliguswa bwana yule na hajanuka, sembusešNyie tuguseni tunuke, sisi ndio wapiga kuraš
Nyie tuguseni tunuke, sisi ndio wapiga kuraš
Ni Jambo jema ila angalizo tu, asije akawa anadhani anawaondoa wamachinga kumbe anajiondoa yeye ofcn!!Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam mh Makalla amesema zoezi la kulirejesha jiji pamoja na mkoa mzima katika hadhi yake litaanza ambapo Wamachinga wanaofanya biashara zao barabarani na katika hifadhi za barabara wataondolewa.
Makalla amesema wamachinga wote wanapaswa kufanya biashara katika maeneo rasmi yaliyotengwa na siyo vinginevyo.
Chanzo: Clouds tv
cc: Mmawia
Mazingira rafiki ya machinga ni barabarani!Kinachofanywa sio kuwazuia kufanya kazi bali watatengenezewa mazingira rafiki ya kuuza bidha zao bila kuleta kero na usumbufu kwa watumiaji wengine wa barabara sasa kukabwa mtaani kunaingiaje hapo bwashee
Ndio.Kwan hao chadema ndo waliwatangazia wamachinga wakae barabarani?