Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya!Ngoja tusubiri hiyo Jumatatu.
Kama mbagala ndio kero kabisa hadi wachina wanaojenga barabara za BRT, wanatishiwa kupigwa kuwa wanawasumbua kila mala kuwahamisha mala hapa tunataja kujenga tokeni!!na zile sehemu zote walizoisha weka lami tayari ndio sasa zinatumiwa na wamachinga na sio magari tena!!na wanakuwa wakali kweliSafi sana! jamaa wamegeuka kero kubwa katikati ya mji hata Mwenge pia!
BetterMkuu wa mkoa wa Dar es salaam mh Makalla amesema zoezi la kulirejesha jiji pamoja na mkoa mzima katika hadhi yake litaanza ambapo Wamachinga wanaofanya biashara zao barabarani na katika hifadhi za barabara wataondolewa.
Makalla amesema wamachinga wote wanapaswa kufanya biashara katika maeneo rasmi yaliyotengwa na siyo vinginevyo.
Source: Clouds tv
cc: Mmawia
Acha mbwebwe ,ukute uko kwa shemeji yako apo,unasubiri waingie kulala usiku na wewe ndo ulale sebuleniNapenda sana kupita hii njia ya kaliakoo nikiwa na gari yangu Jeep ,! wale wamachinga huwa wananikera sana bora waondolewe tu
kwani dar sio mkoa?Dar ni sawa uitwe mkoa si jiji maana vibanda jamani utazani vibanda vyakufukuzia ndege kwenye mashamba ya mpunga
Mkuu mimi nimekuwa nakereka kujenga vibanda juu ya mifereji ya maji. Hii sio standard kabisa.Pale Mbezi maeneo ya CRDB Jamaa wakaona haitoshi wameamua kuweka mabanda yao barabarani kabisa. Magari ndiyo yanafanya kukwepa biashara zao..
Huko Mbezi kwenyewe Machinga wamejaa huo mji mipango miji ishakua mibovusafi sana.
kimsingi Karia koo kwa sasa inapaswa ihamie Maeneo ya MBEZI MWISHO, STENDI YA MAGUFULI.
JIJI la DSR ljnapaswa lipanuke.
tubadilike, wataalamu wa mipango miji wapo lkn hawataki kutumia taaluma zao vyema.
Dar es salaam ni mkoaDar ni sawa uitwe mkoa si jiji maana vibanda jamani utazani vibanda vyakufukuzia ndege kwenye mashamba ya mpunga
Soma na uelewe vizurikwani dar sio mkoa?
Subiri kukabwa mitaani!Ni uamzi mzuri nami nauunga mkono maana hawa wamachinga wametapakaa kila pahali palipo na uwazi utakuta wamepanga bidhaa zao hadi imekuwa kero