RC Makonda aagiza Wazee na Viongozi wa Dini kutopanga foleni kwenye ofisi za Umma

Hapana, hii haikubaliki kabisa,
Huku ni kuchochea vurugu katika utoaji wa huduma katika ofisi za umma, hii nchi sio watu wote wana dini au wanaziheshimu hizi dini.
Amesema viongozi wa dini na wazee kuanzia miaka 60,
Hao wasiokua na dini,watakua kwenye kundi la wazee.
 
Kiustaarabu kuna sehemu wazee na wajawazito hua wanapishwa. Viongozi wa dini hapana wana u special gani?
 
Kuamini/kuwa na dini na kutokuwa na dini ni uamuzi wa mtu , lakini pia wajinga ahuzeeka, sasa mtu anaweza kujiulizaa, kijana anaamka saa kumi alfajiri kuwahi ardhi asajili Deedpoll ili aende nayo kwenye interview alafu anakuja kijana ambaye alikuwa mjinga sasa amezeeka , amelala kilabuni aje saa nne nimpishe na wakati mimi nawahi document ya kupeleka kwenye ajira?

Basi nafikiri sasa , wanasiasa na misafara yao ipishe wazee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…