Pre GE2025 RC Makonda aandaa hafla ya Wakuu wa Taasisi za Umma na Wafanyabiashara Arusha

Pre GE2025 RC Makonda aandaa hafla ya Wakuu wa Taasisi za Umma na Wafanyabiashara Arusha

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Bushmamy

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2019
Posts
9,140
Reaction score
15,963
Arusha leo katika hafla ya kufahamiana kwa sekta binafafsi.
---
IMG-20240829-WA0056.jpg
Maandalizi ya hafla fupi iliyoandaliwa na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Christian Makonda kwa ajili ya kuwakutanisha Wakuu wa Taasisi na Mashirika yote ya Umma nchini Tanzania na wawekezaji na wafanyabiashara wa Mkoa wa Arusha.

Wakuu hao wa Taasisi na Mashirika ya Umma wapo mkoani Arusha kushiriki mkutano wa Mwaka wa Taasisi za Umma, unaoandaliwa na Ofisi ya Msajili wa Hazina nchini Tanzania.

Mkuu wa Mkoa Makonda ambaye pia ni muandaaji wa hafla hii, jana Jumatano Agosti 28, 2024 amekaririwa mbele ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan akisema lengo la hafla hiyo ni kubadilishana uzoefu pamoja na kutengeneza mtandao wa mawasiliano baina ya pande hizo mbili na kujadiliana masuala mbalimbali ya kiuwekezaji na kibiashara.

Soma Pia: RC Makonda aandaa sherehe Arusha. Anatarajiwa kuchinja ng'ombe 200


IMG-20240829-WA0045.jpg

IMG-20240829-WA0046.jpg
 

Attachments

  • IMG-20240829-WA0047.jpg
    IMG-20240829-WA0047.jpg
    139.4 KB · Views: 4
Mxiuuuuu! Mlio karibu naye huyu RC mshaurini akapunguze makalio yake. Ni aibu kwa mwanaume kuwa na makalio makubwa kiasi hicho.
 
Back
Top Bottom