Hakika ilifana
[/
Kujipendekeza kupita kiasi.
Ninyi ni watu wa ajabu sana unaweza ukaniambia kwa hapa Tanzania ni mkuu wa mkoa gani aliye mbunifu kama PAUL MAKONDA? jaribuni kidogo tu kuwa wa kweli kwa busara zake alibuni njia ya kupata fedha na kujengea walimu ofisi, kujenga shule, kupima afya na nyingine nyingi kabisa. Acheni maneno yenu yasiyo na maana. MKUU WA MKOA SONGA MBELE ACHANA NA WATU HAO ambao midomo yao haiishi kutokota kama makomba ya pombe.