F35-Bomber
JF-Expert Member
- Mar 18, 2017
- 1,345
- 1,069
huyu jamaa anawaumiza vichwa watu wengi sana nadhani kuna kitu ndani yake yaani ni mgodi fulani wa madini.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakika ilifana
[/
Ninyi ni watu wa ajabu sana unaweza ukaniambia kwa hapa Tanzania ni mkuu wa mkoa gani aliye mbunifu kama PAUL MAKONDA? jaribuni kidogo tu kuwa wa kweli kwa busara zake alibuni njia ya kupata fedha na kujengea walimu ofisi, kujenga shule, kupima afya na nyingine nyingi kabisa. Acheni maneno yenu yasiyo na maana. MKUU WA MKOA SONGA MBELE ACHANA NA WATU HAO ambao midomo yao haiishi kutokota kama makomba ya pombe.Kujipendekeza kupita kiasi.