Tetesi: RC Makonda ajimilikisha ekari 22.3 mkoani Dodoma, sawa na ukubwa wa viwanja 15 vya Soka

Duu[emoji185][emoji40][emoji102]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sasa ole ako wewe wakukute hata unaviwanja vitano...utaonekana bonge la jizi wakati wenyewe wana miviwanja kibao
 
Wafanya biashara Madawa ya kulevya ni hatari sana, wanatafuta kila aina ya zengwe kwa Makonda

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Tanzania haina Rais. Yupo mwigizaji fulani mithili ya marehemu Majuto.
 
Kila awamu na mtu wake wa kuambiwa anamiliki Mali zisizoelezeka.Awamu iliyopita alikuwa Ridhiwani Kikwete , awamu hii ni Paul Makonda.Wengine yetu macho na vidole.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…