Tetesi: RC Makonda ajimilikisha ekari 22.3 mkoani Dodoma, sawa na ukubwa wa viwanja 15 vya Soka

Naona kama siku za Makonda zna hesabika hv au n mchezo unaendelea kuchezwa na politicians kutuzuga.
 
-kuna tofauti Kati ya kununua na kujimilikisha aridhi,

-makonda si msafi ndio,

Lakini tunapimshutumu ni vizuri tukawa na ushahidi,

ili tumuumbue vizuri tunapaswa tuweke ushahidi kwamba hakununua bali alijimilikisha huyu jamaa.
 
Mwifwa mwifwa Mwifwaa
My Friend


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Si uliona hata majuzi rais akiwa Mwanza, baada ya kumtembelea dada yake hospitalini, alisimama pale Nyerere Road kuzindua kwa siri jengo lake linaloitwa Nyerere Plaza, akajidai anazungumza na wananchi. Ni mali yake ile.

Bora kupita kimyakimya
 
Umeambiwa tatizo sio kununua ila havipo kwenye form ya maadili ya viongozi walizojaza ambapo anatakiwa kuorodhesha mali anazomiliki.
Mkisoma vitu mjilazimishe kuvielewa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…