Kimwakaleli
JF-Expert Member
- Apr 16, 2018
- 7,755
- 11,737
Aha aha aha, haki ya Mungu!Ukitaka kujua watoto wa nje wa baba ngoja siku afariki mama zao watawaleta bila woga
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aha aha aha, haki ya Mungu!Ukitaka kujua watoto wa nje wa baba ngoja siku afariki mama zao watawaleta bila woga
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimecheka lemutuz alivyochambwa na soudybrown insta.Kumekucha angejiuzulu tu kuliko kutumbuliwa hivi lemutuz kesho uzinduzi upo
Mkuu hata mimi nina kiwanja na familia yangu inavyo,kwa kweli sijisikii furaha na amani kuwa eneo moja na shetani mdogo.Duh iyumbu pia Nina kiwanja Mkuu Ila sijakilipia Bado. Ngoja nika cancel hiyo offer Kesho nibaki Na cha ihumwa Na Kisasa tu kule siwezi enda kaa Eneo moja Na zero brain
Kweli kabisa!Haya mambo ndiyo husababisha Jamii forum itishiwe kufungwa..mambo mazito kama haya hupatikana JF tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah...na lile ''bugando" la 600m lililoko Mwanza?Yale makontena ashayalipia? Tuanzie hapo labda
Pia jaribu kumjibu Kama alivyokuuliza usikimbilie kumtuhumu kuwa ana ushabikiMkuu acha ushabiki hebu jaribu kufikiri kidogo