othuman dan fodio
JF-Expert Member
- Jan 2, 2018
- 6,850
- 11,033
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rais wa 2025 ni Makame Mbarawa na Makamu wake ni Makamba.Rais wa 2025 by Pascal Mayala (Njaa)
Hata alipie asilipie kinachotakiwa hapo tujue alivipatajeHalipii au analipia?
Nenda kamuulize.Hata alipie asilipie kinachotakiwa hapo tujue alivipataje
Izame mara ngapi wakati saa hizi majibndo yako puani
Wanawake wa pwani mna matatizo saana. Yaani haijapita hata jogoo hajawika umeshamkana mchepuko wako.Mimi maswala ya Mkuu huyu wa Mkoa wa Dar nakaa nayo mbali ee!! Mungu nisaidiee!!
Jibu analipia au halipii, ushabiki unatoka wapi?
Mimi nimeshona gauni la uzinduzi watanitia hasaraKumekucha angejiuzulu tu kuliko kutumbuliwa hivi lemutuz kesho uzinduzi upo