Tetesi: RC Makonda ajimilikisha ekari 22.3 mkoani Dodoma, sawa na ukubwa wa viwanja 15 vya Soka

Thread kama hizi ni za kichochezi na hazina nia njema na Rais pamoja na nchi kwa ujumla.

Kitendo cha kudai kuwa Rais alizindua jengo lake liitwalo Nyerere Plaza alipokwenda kumuona mgonjwa, ni uongo wa first glade nadhani unafaa kwenye magroup yenu ya Kikabila ambako kuna kundi kubwa la Wajinga wanaodanganyika ovyo sio kuleta kwa GT.

Pia hata hizo Invoice ni disputable kwa sababu Invoice sio Hati ya kiwanja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kitendo cha kudai kuwa Rais alizindua jengo lake liitwalo Nyerere Plaza alipokwenda kumuona mgonjwa, ni uongo wa first glade
Naomba utuwekee ukweli hapa kama unadai huo ni uongo
 
Sasa mbona povu ... proove basi kwa hoja Kama kweli we ni GT kua habari hizi ni za uongo nafkiri humu ndani ma GT wote ndivyo tunavyofanya au we GT wa wapi mwenzetu ...

Wajinga wali wenu mko wengi Sana nchi hii ... Hivi kwa akili yako ya kawaida upuuuuzi woooote wa Makonda ungekumbatiwa na na huyo Rais Kama kungekua hakuna ushirika katika Siri zao za pamoja?

Skia bro! Kuna siku ukifanikiwa kua GT Basi utaujua ukweli na hauto buruzwa ... Mwenzenu Mzee wa Kibamia kaishia kuomba radhi kwenye page yake ya Insta ... Bado nyinyi




Sent using Jamii Forums mobile app
 
Du! tutajua mengi,,, hapa ndio usiseme,,, kuna mahali huku Ubungo Extenal Shule ya Makamba sekondari. wamegawana viwanja vywa raia akiwemo mkuu wa mkoa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa fikiria huyu ni mfanyakazi wa serikali analipia viwanja million Mia tatu, mnasema ufisadi maisha, wanapeana vijiti tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…