Tetesi: RC Makonda ajimilikisha ekari 22.3 mkoani Dodoma, sawa na ukubwa wa viwanja 15 vya Soka

Tetesi: RC Makonda ajimilikisha ekari 22.3 mkoani Dodoma, sawa na ukubwa wa viwanja 15 vya Soka

-kuna tofauti Kati ya kununua na kujimilikisha aridhi,

-makonda si msafi ndio,

Lakini tunapimshutumu ni vizuri tukawa na ushahidi,

ili tumuumbue vizuri tunapaswa tuweke ushahidi kwamba hakununua bali alijimilikisha huyu jamaa.
unajua kusoma lakini hujui kuelewa
angalia jumla ya thamani ya viwanja vyote,milioni 400,mtumishi wa umma anazipata wapi hizi?
kwenye makontena mlitokeza watu kama nyinyi tukawaambia acheni upuuzi,naona umesahau,wenzako wanaona aibu hata kuingia jf baada ya msala wa makontena
 
Back
Top Bottom