Tetesi: RC Makonda ajimilikisha ekari 22.3 mkoani Dodoma, sawa na ukubwa wa viwanja 15 vya Soka

Siku Ya Kufa Nyani Miti Yote Huteleza
Kusikia Kwa Kenge Hadi Atoke Damu Puani Na Masikioni 😣😏😥
 
Tafadhali muheshimiwa rais wetu mpendwa pitia hapa uone jinsi huyu mtu anavyo kuaibisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waongo, wachochezi mtapata muda wakuchomeka yenu yasiyo ya kweli ili muonekane mnafahamu maovu yake.
Hebu tuacheni kwanza alipe kodi hayo makontena tujenge nchi.

*Usichague kiongozi mbaya kisa ni chama chako*
 
Lile jengo pale round about ya Nyerere road Mwanza lilikua kuu kuu na la kizamani miaka mingi,kaingia jiwe tu limevunjwa na kujengwa kisasa,huyu jiwe ni fisadi mkubwa time will tell
 
Ila najua mpaka sasa hakuna sheria inayoweka ukomo wa mtu kumiliki ardhi.Hoja ni namna tu alivyoipata au kuiendeleza.
 
Ilikuwa mpimwe tezi dume ati au bado mnahamu ya vipimo.

Na upimaji unafuata utaratibu wa mwenge hakuna kuruka kijiji. Watu wa DAR kama vile na kuoneni, heri kwetu Nanjililinji huo utaratibu haujafika.

Hii habari ya mwifwa hata kama iko na ukweli lakini hajafikia ya ITPL.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…